Nenda kwa yaliyomo

Luísa Canziani

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Luísa Canziani (2019)

Luísa Canziani dos Santos Silveira (alizaliwa tarehe 11 Aprili 1996) ni mwanasiasa na mwanasheria kutoka Brazil ambaye ametumia mda wake mwingi kwenye kazi za siasa kuwakilisha jimbo la Parana, akiwa mbunge toka mwaka 2019.[1][2]

Maisha binafsi

[hariri | hariri chanzo]

Canziani ni mtoto wa mwanasiasa na mwanasheria Alex Canziani.[3] Luisa ni mhitimu wa Chuo Katoliki cha Kipapa huko Parana[4]

Kazi ya kisiasa

[hariri | hariri chanzo]

Canziani alichaguliwa kuingia katika bunge la chini la Brazil kwenye uchaguzi mkuu wa Brazil wa 2018, akichukua nafasi ya baba yake ambaye alikuwa ametumikia mihula 5 mfululizo kuanzia 1999 hadi 2019.[3] Akiingia madarakani akiwa na umri wa miaka 22 pekee, yeye ndiye mbunge mdogo zaidi kuwahi kuhudumu katika bunge la shirikisho la wawakilishi.[5]

  1. "LUISA CANZIANI – Biografia". Câmara dos Deputados do Brasil (kwa Portuguese). Iliwekwa mnamo 21 Septemba 2019.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) CS1 maint: unrecognized language (link)
  2. "LUISA CANZIANI – Biografia". Câmara dos Deputados do Brasil (kwa Portuguese). Iliwekwa mnamo 21 Septemba 2019.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) CS1 maint: unrecognized language (link)
  3. 1 2 Bubniak, Taiana (23 Novemba 2018). "O que pensa a deputada federal mais jovem do país" (kwa Portuguese). Gazeta do Povo. Iliwekwa mnamo 21 Septemba 2019.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) CS1 maint: unrecognized language (link)
  4. Bubniak, Taiana (23 Novemba 2018). "O que pensa a deputada federal mais jovem do país" (kwa Portuguese). Gazeta do Povo. Iliwekwa mnamo 21 Septemba 2019.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) CS1 maint: unrecognized language (link)
  5. "Com 22 anos, Luísa Canziani é a deputada federal mais jovem do Brasil" (kwa Portuguese). TN Online. 9 Oktoba 2019. Iliwekwa mnamo 21 Septemba 2019.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) CS1 maint: unrecognized language (link)
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Luísa Canziani kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.