Nenda kwa yaliyomo

Love in Singapore (filamu ya 1980)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Love in Singapore ni Filamu ilio katika lugha ya Telugu ya India ilioongozwa na OSR Anjaneyulu pamoja na nyota Ranganath, Latha, Chiranjeevi, na Jose Prakash ( akiwa katika lugha ya Kitelugu).Kwa wakati huo huo pia Filamu hio ili andaliwa katika lugha ya Kimalayalam kwa jina hilo hilo ikiwa na nyota mwingine tofauti Prem Nazir na Jayan.


Wahusika

  • Ranganath kama Prem
  • Latha kama Sudha
  • Chiranjeevi kama Suresh
  • Jose Prakash

Pamoja na wahusika wengine;

  • Madeline kama Madeline
  • Mukkamala
  • Hema Sundar
  • P. J. Sarma
  • Attili Lakshmi

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Love in Singapore (filamu ya 1980) kama waigizaji wake, hadithi au matoleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.