Nenda kwa yaliyomo

Lottie Louise Riekehof

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

'

Lottie Louise Riekehof
AmezaliwaAgosti 13, 1920
AmefarikiAgosti 6, 2020
Kazi yakemfasiri wa Lugha ya Ishara


Lottie Louise Riekehof (Agosti 13, 1920Agosti 6, 2020) alikuwa mtafsiri wa Lugha ya Ishara ya Kimarekani, mwandishi, na mwanzilishi katika taaluma ya utafsiri wa kitaaluma wa lugha ya ishara.[1][2] Aliandika mojawapo ya mtaala wa kwanza kwa waalimu wa tafsiri, na aliwafundisha wafasiri na waalimu wa tafsiri duniani kote.[3]

Lottie Riekehof 1962 katika Chuo Kikuu cha Biblia, Springfield, Mo
  1. Brief CV at www.exodusbooks.com
  2. Carolyn Ball (2013). Legacies and Legends: Interpreter Education from 1800 to the 21st Century. Alberta, Canada: Interpreting Consolidated. ISBN 978-0-9697792-8-5.Kigezo:Vs
  3. "Lottie Louise Riekehof". Murphy Funeral Homes. Iliwekwa mnamo 9 Agosti 2020.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Lottie Louise Riekehof kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.