Lotte Wubben-Moy

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Lotte Wubben-Moy kabla ya mechi ya kirafiki dhidi ya Ubelgiji 2022

Carlotte Mae Wubben-Moy (alizaliwa 11 Januari 1999)[1] ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Uingereza ambaye anacheza kama mlinzi wa Arsenal katika Ligi Kuu ya Wanawake(WSL) na timu ya taifa ya Uingereza.

Hapo awali alicheza soka katika chuo kikuu cha North Carolina Tar Heels huko Marekani na amewakilisha Uingereza katika mashindano ya walio na umri wa miaka 15 hadi chini ya 21. Wubben-Moy alipokea mwito wake wa kwanza wa kambi ya Wanawake wa Uingereza mnamo Septemba 2020.[2] Alicheza kwa mara ya kwanza katika timu ya taifa ya Wanawake Uingereza mnamo Machi 2021.[3]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "List of Players – England". FIFA. 24 September 2016. uk. 4. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 4 November 2016. Iliwekwa mnamo 16 September 2017.  Unknown parameter |url-status= ignored (help); Check date values in: |date=, |archivedate=, |accessdate= (help)
  2. "England's Euro 2022 winners honoured with gold plaques at local football clubs". 90min. 2022-09-22. Iliwekwa mnamo 2023-04-02. 
  3. Sanders, Emma (27 February 2024). "England 5-1 Italy: Lionesses comfortably beat Italians in friendly match". BBC Sport. Iliwekwa mnamo 27 February 2024.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Lotte Wubben-Moy kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.