Nenda kwa yaliyomo

Lorna Wing

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Lorna Gladys Wing OBE FRCPsych (7 Oktoba 19286 Juni 2014) alikuwa mtaalamu wa magonjwa ya akili kutoka Uingereza aliyejulikana kwa utafiti wake wa awali kuhusu usonji. Aliunda istilahi Asperger's syndrome na alisaidia kuanzisha Jumuiya ya Kitaifa ya Watu Wenye Usonji (National Autistic Society).[1]

  1. "Dr Judith Gould BSc, MPhil, PhD, AFBPsS, CPsychol". autism.org.uk. National Autism Society. Iliwekwa mnamo 15 Juni 2014.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Lorna Wing kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.