Lorna Nyarinda

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Lorna Nyarinda Nyabuto alizaliwa 13 oktoba 2000.Ni mchezaji wa nchini Kenya anaechezea kama kiungo kutokea timu ya wanawake nchini Kenya timu ya Vihiga Queens pamoja na timu ya taifa Kenya

Marejeo

Jamii

Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Lorna Nyarinda kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.