Lojiba Simelane

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Lojiba Simelane alikuwa malkia mtawala na Indlovukati wa Eswatini kutoka mwaka wa 1836 baada ya kifo cha Sobhuza I hadi mwaka wa 1840 ambapo Mfalme Mswati II alipoanza kutawala. Mwanawe wa kwanza, mwana wa kiume, mwana wa kifalme Sononde alikuwa mdogo wakati baba yake alipofariki. Mfalme Mswati II alifanywa mfalme kwa sababu hiyo. Sononde na mama yake walipinga mawashauri ya mawaziri wa zamani wa mfalme wa Swati na baadaye wakafurushwa Swaziland.[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Eswatini". 
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Lojiba Simelane kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.