Lisa Brennauer

Lisa Brennauer (amezaliwa 8 Juni 1988) ni Mjerumani anayejihusha na mbio za baiskeli na kwa sasa ndiye anayeiendesha timu ya bara la UCI ya wanawake[1].
Alishinda medali ya dhahabu kwenye Olimpiki ya majira ya joto mwaka 2020 kwenye timu ya wanawake[2]. 24 Septemba 2014,Brennauer akawa bingwa wa dunia katika michuano ya dunia huko Ponferranda.[3]
Marejeo[hariri | hariri chanzo]
- ↑ "Team Reporting", Pro Visual Studio 2005 Team System (Apress): 159–196, retrieved 2021-12-03
- ↑ Abbiss, Chris R.; Menaspà, Paolo (2017). "Track Cycling". Cycling Science. . http://dx.doi.org/10.5040/9781492595373.ch-038.
- ↑ Steve Ritter (2016-08-01). "New world champion base is crowned". C&EN Global Enterprise 94 (31): 8–9. . . http://dx.doi.org/10.1021/cen-09431-scicon002.