Lilian Makoi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Lilian Makoi ni mwanamke wa Tanzania, mshindi wa tuzo nyingi katika utaalamu wa fedha na tarakimu[1].

Lilian anafanya sana kazi ya kuleta mabadiliko katika jamii kupitia ubunifu wa mifumo hasa ya kiteknolojia. Moja ya hii mifumo ni Jamii Africa[2][3]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

People.svg Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Lilian Makoi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.