Liga dos Escuteiros de Mozambique
Mandhari
Liga dos Escuteiros de Moçambique (LEMO) ni chama cha Skauti nchini Msumbiji,chama hiki kilianzishwa mnamo mwaka 1994 lilianzishwa mwaka wa 1994 na kuwa mwanachama wa chama cha Skauti Duniani mnamo mwaka 1999,[1] mwaka 2017 chama hiki kilikuwa na jumla ya wanachama 31,108 huku wanachama wengi wakiwa wanatoka katika miji mikubwa huku kamanda mkuu wa Skauti akiwa ni raia wa Poland anaejulikana kama Leonardo Adamowicz.[2]
Msumbiji ilikuwa mwenyeji wa Jamboree ya Afrika ya 5 mwaka 2006, na ilitarajiwa kuwa mwenyeji wa Mkusanyiko wa Dunia wa Waskauti uliofutwa mwaka 2008. Chama hicho ni mwanachama wa Comunidade do Escutismo Lusófono (Jumuiya ya Uaskauti wa Kiprake).
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Mozambique to celebrate "Scout Cultural Heritage"". World Organization of the Scout Movement. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2008-12-05. Iliwekwa mnamo 2009-01-30.
- ↑ "Triennal review: Census as at 1 December 2017" (PDF). World Organization of the Scout Movement. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 8 Mei 2012. Iliwekwa mnamo 2011-01-13.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |