Liesl Jobson

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Liesl Jobson ni mtunzi wa mashairi na mwanamuziki kutoka nchini Afrika kusini.

Alipata tuzo yake ya kwanza kwenye mashindano yaliyofanyika katika Jumba la Ushairi mnamo mwaka 2003 na shairi lake kusomwa katika tamasha la "Art of Survival" huko chuo kikuu cha Alaska. Alikuwa ndiye mghani mashairi anayetizamwa sana na Timbila 2005 na mashairi yake yalionekana katika majarida na vitini mbalimbali mtandaoni na hata yaliyo chapishwa. Alishinda katika mashindano ya ushairi wenye kupinga ukatili wa wanawake ya mwaka 2005 na kutunukiwa tuzo mnamo mwaka 2006 ya Ernst van Heerden katika kughani mashairi kwa ubunifu.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]