Leyla Hussein

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Leyla Hussein

Leyla Hussein Obe (kwa Kisomali: Leyla Xuseen; alizaliwa huko Somalia mnamo mwaka 1980 [1][2]) ni mwanaharakati wa kijamii na mwanzilishi wa mradi wa Dahlia[3].

Mwaka 2020, Leyla Hussein alichaguliwa kuwa mkuu wa Chuo Kikuu cha St Andrews.

Maisha[hariri | hariri chanzo]

Wazazi wake walikuwa wataalamu. Hussein baadaye alihamia Uingereza ili kupata elimu yake ya sekondari, alipata stashada ya uzamili ya kwanza katika ushauri wa matibabu kutoka Chuo Kikuu cha Thames Valley.[4] pia ana mtoto mmoja wa kike.[5].

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Leyla Hussein. Kompany.
  2. "How I Survived Female Genital Mutilation", Staying Alive Foundation, 18 June 2014. Retrieved on 2021-07-20. Archived from the original on 2014-10-06. 
  3. Leyla Hussein | Campaigner (en-US). Jalada kutoka ya awali juu ya 2019-03-13. Iliwekwa mnamo 2021-07-20.
  4. Leyla Hussein. Daughters of Eve. Jalada kutoka ya awali juu ya 2014-07-15. Iliwekwa mnamo 2021-07-20.
  5. The Cruel Cut. Channel 4.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Leyla Hussein kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.