Leonardo Fabbri

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Fabbri mnamo mwaka 2019.
Fabbri mnamo mwaka 2019.

Leonardo Fabbri(alizaliwa 15 Aprili 1997)[1] ni Mwitalia wa kiume mrusha tufe. Alishindana kwenye Olimpiki ya majira ya joto 2020, kwenye Kurusha tufe.[2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Italia_ETCH21.pdf (fidal.it)
  2. Athletics FABBRI Leonardo - Tokyo 2020 Olympics (en-us). olympics.com. Jalada kutoka ya awali juu ya 2021-10-02. Iliwekwa mnamo 2021-10-02.