Leo Cullum
Mandhari
Leo Aloysius Cullum (11 Januari 1942 – 23 Oktoba 2010) alikuwa mchoraji wa vibonzo wa Marekani.
Alikuwa mmoja wa wachangiaji wa mara kwa mara wa jarida la The New Yorker, ambapo zaidi ya vibonzo 800 vya utani vilivyochorwa naye vilichapishwa.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Cullum, Leo. The Cartoon Bank Archived 2010-07-24 at Archive.today, The New Yorker, November 30, 1998. Accessed October 27, 2010.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Leo Cullum kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |