Nenda kwa yaliyomo

Lekha K. C.

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Lekha K. C. aliwakilisha ndondi za Wanawake wa Uhindi katika kitengo cha kilo 75 akashinda medali ya dhahabu katika Mashindano ya Ndondi ya Dunia ya Wanawake ya 2006.[1]

  1. "Has Kerala sounded time on KC Lekha?", The Times of India, 3 February 2012. 
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Lekha K. C. kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.