Nenda kwa yaliyomo

Leila bin Khalifa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Laila Salim Musa bin Khalifa au kwa kifupi Leila bin Khalifa (kwa Kiarabu: ليلى بن خليفة; alizaliwa 11 Oktoba 1975) ni mwandishi wa habari, mwanaharakati wa haki za binadamu, na mkuu wa chama cha harakati za kitaifa nchini Libya.[1][2]

  1. Al Amir, Khitam. "Libya: Leila bin Khalifa becomes first woman to run for presidency", Gulf News, 22 November 2021. 
  2. "إكتشف 8 معلومات عن المرشحة الرئاسية ليلى بن خليفة" (kwa Kiarabu). 22 Novemba 2021.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Leila bin Khalifa kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.