León, Guanajuato

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Sehemu za Mji wa León, Guanajuato


León
Nchi Mexiko
Jimbo Guerrero
Idadi ya wakazi
 - 166,796
Tovuti: / León, Guerrero

León (jina rasmi: León de los Aldamas) ni mji mkubwa katika jimbo la Guanajuato. NNi pia mji mkubwa wa tano wa Mexiko. Ni mji upande wa kati ya nchi. Idadi ya wakazi ni 1,137,465, pamoja na mitaa ya jirani rundiko la mji lina wakazi 1,634,917. Eneo lake ni 1,219.67 km². Mji upo m 1,815 kutoka juu ya usawa wa bahari.

Mji ulianzishwa mwaka 1576.


Locatie Leon de los Aldamas.pngMexico Flag Map.svg Makala hii kuhusu maeneo ya Mexiko bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu León, Guanajuato kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.