Nenda kwa yaliyomo

Laycon

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Laycon

Olamilekan Massoud Al-Khalifah Agbeleshebioba (anajulikana pia kama Laycon, amezaliwa 8 Novemba 1993) ni rapper , mwimbaji, mtunzi wa nyimbo wa Nigeria.[1][2] Alikuwa mshindi wa Big Brother Naija msimu wa 5 na ni balozi wa vijana wa Jimbo la Ogun, tangu tarehe 6 Oktoba 2020. Mnamo Oktoba 2022, alijiunga kuwa mwanachama wa kamati ya wapiga kura ya Grammys Recording Academy.[3][4]

Maisha ya awali na Elimu

[hariri | hariri chanzo]

Olamilekan Massoud Al-Khalifah Agbeleshebioba alizaliwa na kukulia Lagos, Nigeria[5][6] na ni mzawa wa Odeda, Jimbo la Ogun.[7][8]

Alisoma katika Lagos State Model College Merian, Nigeria. Mnamo mwaka 2012, alijiunga kusomea falsafa katika Chuo Kikuu cha Lagos na kuhitimu mnamo mwaka 2016 akiwa na Shahada ya Kwanza ya Heshima ya Daraja la Pili (Upper Division).[9][10][11]

Mnamo Aprili 2023, alihitimu kwa Shahada ya Uzamili ya Sanaa (MA) katika Mahusiano ya Kimataifa kutoka Chuo Kikuu cha Portsmouth, Uingereza.[12]

  1. Adebiyi, Adeayo (2022-10-19). "Laycon becomes member of Grammy voting committee". Pulse Nigeria (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2023-09-25.
  2. Alake, Olumide (2022-06-30). "Congratulations pour as Laycon becomes voting member of Grammy Recording Academy". Legit.ng - Nigeria news. (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2023-09-25.
  3. Adebiyi, Adeayo (2022-10-19). "Laycon becomes member of Grammy voting committee". Pulse Nigeria (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2023-09-25.
  4. Alake, Olumide (2022-06-30). "Congratulations pour as Laycon becomes voting member of Grammy Recording Academy". Legit.ng - Nigeria news. (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2023-09-25.
  5. Zawadi, Lucy (Julai 19, 2024). "Laycon Release New Project Title Any Given Monday III". Np Media. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2024-08-14. Iliwekwa mnamo Julai 19, 2024.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  6. Olukoya, Samed (26 Septemba 2020). "Laycon Bbnaija Biography, Career and Health Issue". Investors King. Iliwekwa mnamo 28 Septemba 2020.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  7. Ogunnaike, James (24 Septemba 2020). "BBNAIJA : Vijana wa Ogun watembea kwa ajili ya Laycon, wagawa muda wa maongezi ili kupigia kura". Gazeti la Vanguard. Iliwekwa mnamo 28 Septemba 2020. {{cite web}}: line feed character in |title= at position 8 (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
  8. Agbana, Rotimi (25 Septemba 2020). "BBNAIJA : Vijana wa Ogun waanzisha kampeni ya kumuunga mkono Laycon". Gazeti la Independent. Iliwekwa mnamo 28 Septemba 2020. {{cite web}}: line feed character in |title= at position 8 (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
  9. Adekanye, Modupeoluwa (20 Julai 2020). "Who is Laycon, BBNaija's Diamond in the Rough?". The Guardian Newspaper. Iliwekwa mnamo 28 Septemba 2020.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  10. Motolani, Alake (21 Julai 2020). "BBNaija 2020: Who is Laycon?". Pulse Nigeria. Iliwekwa mnamo 28 Septemba 2020.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  11. Preye, Campbell (26 Septemba 2020). "Big Brother Naija: Icons Emerge". P.M. News. Iliwekwa mnamo 28 Septemba 2020.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  12. "Laycon apokea shahada ya uzamili kutoka chuo kikuu cha Uingereza". TheCable Lifestyle (kwa American English). 2023-04-22. Iliwekwa mnamo 2023-09-03.
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Laycon kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.