Lawton Fitt

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Lawton Wehle Fitt (alizaliwa julai 1953)[1] ni mmarekani mkurugenzi wa benki.

Alimaliza katika chuo cha Brown , ni mtaaam katika historia ya European. Baada ya kufanya kazi Burkina Faso na askari wa Amani, alisoma chuo kikuu cha Virginia’s Darden shule ya biashara.[2]

Kuanzia 1979 mpaka 2002, Fitt alikua ni mkurugenzi wa benki na Goldman Sachs.[3]

Mwaka 2002, Fitt alimrithisha David Gordon kama sekretari wa Royal Academy, alishikilia nafasi hiyo mpaka 2005.[4]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Lawton FITT personal appointments - Find and update company information - GOV.UK". find-and-update.company-information.service.gov.uk (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2022-08-14. 
  2. https://www.hrw.org/about/people/lawton-fitt
  3. "Stocks". Bloomberg.com (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2022-08-14. 
  4. "The Independent", Wikipedia (kwa Kiingereza), 2022-08-08, iliwekwa mnamo 2022-08-14 
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Lawton Fitt kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.