Lango:Kenya/Wasifu uliochaguliwa/4

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Tom Mboya

Tom Mboya (15 Agosti1930 - 5 Julai1969) alikuwa mwanasiasa maarufu Kenya wakati wa serikali ya Mzee Jomo Kenyatta. Yeye pia alianzisha chama cha Nairobi People's Congress Party, chama ambacho kilichangia kukua kwa chama maarufu Kenya African National Union (KANU), alikuwa pia Waziri wa Mipango na Maendeleo ya Uchumi wakati wa kifo chake. Mboya  aliuawa tarehe 5 Julai, 1969 katika  mji mkuu wa Nairobi.

(Soma Zaidi...)