Lango:Kenya/Je Wajua

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
  • ... kwamba wanafunzi katika nchi ya Kenya hufunzwa kwa lugha ya Kiingereza?
  • ... la kwamba jina rasmi la Kenya ni Jamhuri ya Kenya?
  • ... la kwamba Ziwa Turkana ndio ziwa kuu katika jangwa ulimwenguni?
  • ... kwamba Kenya ina upaka na 'ziwa kubwa kwa eneo ya Afrika, Ziwa Victoria' ?
  • ... kwamba Mlima Kenya ni mlima wa pili kwa urefu katika Afrika? Ni 5,199 metres (17,057 ft).
  • ... ya kwamba asilimia thelathini na tatu ya maua katika Umoja wa Ulaya hutoka Kenya?

    Archive[hariri chanzo]