Nenda kwa yaliyomo

Lango:Cote d'Ivoire/Makala iliyochaguliwa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Orodha ya makala iliyochaguliwa

[hariri chanzo]
  • Januari : Siasa ya Cote d'Ivoire
  • Februari : Tarafa ya Cote d'Ivoire
  • Machi : Mikoa ya Cote d'Ivoire
  • Aprili : Siasa ya Cote d'Ivoire
  • Mei : Tarafa ya Cote d'Ivoire
  • Juni : Mikoa ya Cote d'Ivoire
  • Julai : Siasa ya Cote d'Ivoire
  • Agosti : Yamoussoukro
  • Septemba : Mikoa ya Cote d'Ivoire
  • Oktoba : Siasa ya Cote d'Ivoire
  • Novemba : Tarafa ya Cote d'Ivoire
  • Desemba : Mikoa ya Cote d'Ivoire

Makala zilizochaguliwa, Desemba

[hariri chanzo]

Mikoa ya Cote d’Ivoire (kwa Kifaransa: Régions de Côte d’Ivoire) ni ngazi ya pili ya ugatuzi nchini Cote d'Ivoire. Nchi imegawanywa katika wilaya 14 ambazo ni ngazi ya kwanza ya ugatuzi. Wilaya mbili ni miji iliyoandaliwa kama wilaya huru na wilaya 12 za kawaida zinagawanyika katika mikoa 31.

Mikoa na wilaya zisizo huru, imegawanywa katika tarafa 108 ambazo ni ngazi ya tatu ya ugatuzi.