Lakhdar Belloumi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Lakhdar Belloumi

Lakhdar Belloumi (alizaliwa 29 Desemba 1958) ni mchezaji wa zamani wa mpira wa miguu na meneja timu ya taifa ya Algeria. lakhdar Anazingatiwa sana kama mchezaji bora wa Algeria wa wakati wote na mmoja wa wachezaji bora zaidi barani Afrika.[1][2]

Ushiriki Katika Klabu[hariri | hariri chanzo]

Belloumi alitumia takriban maisha yake yote nyumbani (mbali na kipindi kifupi huko Qatar mwishoni mwa kazi yake), haswa akiwa na kilabu cha mji wake wa GC Mascara, pamoja na klabu ya MC Oran.

Ushiriki Kimataifa[hariri | hariri chanzo]

Belloumi ana jumla ya mechi 147 na mabao 34 kwa timu ya taifa ya Algeria lakini ni mechi 100 pekee na mabao 28 yanatambuliwa na FIFA.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Lakhdar Belloumi: The Wizard of Maghreb", A Halftime Report, Alfiepottsharmer, 24 May 2015. (en-EN) 
  2. "Golden Goal: Lakhdar Belloumi for Algeria v West Germany (1982)", The Guardian, Simon Burnton, 22 September 2020. (en-EN) 

Viungo Vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Lakhdar Belloumi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.