Nenda kwa yaliyomo

Lake Cement Ltd

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Lake Cement Tanzania Ltd ni kampuni ya saruji nchini Tanzania iliyoanza uzalishaji kwenye mwaka 2014. Kiwanja chake kiko kwenye kata ya Kimbiji, Wilaya ya Kigamboni, Dar es Salaam. Inauza saruji yake kwa rajamu ya Nyati Cement. [1]

Kiwanda kinaenea kwa eneo la hektari 100 huko Kimbiji kikiwa na uwezo wa kuzalisha megatani 500,000 kwa mwaka. Kiwanda huwa na kituo cha kuzalisha umeme kinachotumia makaa mawe.[2][3] Makaa hupatikana kotoka migodi kwenye mkoa wa Ruvuma.[4]

Gange (mawe chokaa) kwa uzalishaji wa saruji hupatikana kwenye eneo la kiwanda.

Aina za saruji

[hariri | hariri chanzo]

Lake Cement hutoa saruji ya Nyati kwa ngazi tatu za uthabiti:[5]

  1. Type II-B/32.5 N/mm2
  2. Type II/42.5 R
  3. Type I /52.5 N/mm2


  1. "Tanzania: Cement Output Set to Double Soon", Daily News Tanzania, 27 November 2014. Retrieved on 21 July 2015. 
  2. "'Nyati' to double production to 1million MT by 2017". www.ippmedia.com (kwa Kiingereza). 2016-03-18. Iliwekwa mnamo 2021-12-11.
  3. "Lake Cement - The Plant". Lake Cement. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2015-02-17. Iliwekwa mnamo 21 Julai 2015.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  4. "Lake Cement Brochure (pg9)" (PDF). Lake Cement Brochure. Lake Cement. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 2015-07-22. Iliwekwa mnamo 21 Julai 2015.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  5. "Lake Cement - Products". Lake Cement. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2015-07-22. Iliwekwa mnamo 21 Julai 2015.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)

Viungo vya Nje

[hariri | hariri chanzo]

Tovuti rasmi Ilihifadhiwa 8 Julai 2022 kwenye Wayback Machine.