Laila Ferrer e Silva
Mandhari
Laila Ferrer e Silva Domingos (alizaliwa Pacatuba, Ceará, 30 Julai 1982) ni Mbrazili anaye rusha mikuki[1][2]. Alimaliza kushiriki michezo ya kurusha mikuki ya olimpiki ya mwaka 2012 kipindi cha majira ya joto[3]. Pia aliwahi kushiriki Mashindano ya Olimpiki ya majira ya joto ya mwaka 2020[4].
Disemba 2012, aliolewa na mwanamichezo mrusha nyundo Wagner Domingos.[5]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Search Results | Olympics at Sports-Reference.com". web.archive.org. 2020-02-23. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-02-23. Iliwekwa mnamo 2021-10-02.
- ↑ "X Juegos Suramericanos - (Atletismo) Biografía - General : FERRER DOMINGOS Laila". web.archive.org. 2014-05-12. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2014-05-12. Iliwekwa mnamo 2021-10-02.
- ↑ "Laila Ferer E Silva - Athletics - Olympic Athlete | London 2012". web.archive.org. 2013-05-24. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2013-05-24. Iliwekwa mnamo 2021-10-02.
- ↑ "Athletics FERRER Laila - Tokyo 2020 Olympics". olympics.com (kwa American English). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-10-02. Iliwekwa mnamo 2021-10-02.
- ↑ Jogos Olímpicos Tóquio 2020 | 2021 - iG