Nenda kwa yaliyomo

Kuzingirwa kwa Edirne (378)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kuzingirwa kwa Edirne kulifanyika mwaka 378 baada ya ushindi wa Wagoti katika Vita vya Adrianopoli. Vikosi vyao vilishindwa kuvunja kuta za mji na walijiondoa. Baadaye, walijaribu bila mafanikio kuvunja kuta za Konstantinopoli.[1]

  1. Alessandro Barbero, The Day of the Barbarians, Walker & Co, 2008 p 120-125
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kuzingirwa kwa Edirne (378) kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.