Kupunguza hatari ya maafa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kupunguza hatari ya maafa ni mbinu ya kimfumo ya kutambua, kutathmini na kupunguza hatari za maafa. Inalenga kupunguza hatari za kijamii na za kiuchumi za maafa pamoja na kukabiliana na majanga ya mazingira na hatari nyingine.

Makala hii kuhusu "Kupunguza hatari ya maafa" ni fupi mno. Inahitaji kupanuliwa mapema.