Kukamua Kifaru

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kukamua Kifaru (kwa Kiingereza: Milking the Rhino) ni filamu ya makala iliyotolewa 2009, ikitayarishwa na Kartemquin Films, ambayo inachunguza uhusiano kati ya wanyamapori wa Afrika, wanakijiji wanaoishi miongoni mwa wanyamapori hawo na wahifadhi ambao wanatazamia kuweka utalii ili kupata fedha za kigeni. Wamasai wa Kenya na Waovahimba Namibia wameishi karne nyingi kama wafugaji wa ng'ombe. Japo ardhi yao kugeuzwa kama mapori ya akiba, yamegeuka kuwa kivutio cha utalii.[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "AWF News". African Wildlife Foundation (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2022-08-10.