Kukamilisha

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Taswira ya kukamilisha. Upana wa mistatili ukipungua, jumla ya eneo ya mistatili yote inaelekea eneo halisi baina ya mchirizo na jira-x

Kukamilisha (kwa kiingereza: integration) katika hisabati ni mfululizo endelevu. Ni tokeo la kujumlisha mfuatano wenye idadi isiyokoma ya sehemu zenye udogo usiokoma. Kwa hivyo, jumla tokeo ni endelevu.

Makala hii kuhusu mambo ya hisabati bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kukamilisha kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.