Kufuzu kwa AfroBasket 2017

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kufuzu kwa AfroBasket 2017 ilitoke mwaka 2017. Kutambua timu gani za kitaifa kwa mpira wa kikapu zilizofuzu katika Ubingwa wa Afrika FIBA mwaka 2017. Timu zilishindana na timu nyingine katika "kanda" zao kushindania Ubingwa wa mashindano hayo.[1][2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Draws results in for FIBA AfroBasket 2017 Qualifiers Zones 2 and 4". FIBA.basketball (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2022-09-07. 
  2. "Zimbabwe and Zambia to host FIBA AfroBasket 2017 Zone 6 Qualifiers". FIBA.basketball (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2022-09-07.