Kristin Hammarström
Mandhari
'
Anna Kristin Hammarström | |
---|---|
Anna Kristin Hammarström | |
Amezaliwa | Machi 29 1982 |
Kazi yake | Mchezaji wa soka |
Anna Kristin Hammarström (alizaliwa Machi 29, 1982) ni mlinda lango wa zamani wa mpira wa miguu kutoka Sweden ambaye alikuwa akicheza kwa KIF Örebro DFF na Kopparbergs/Göteborg FC ya ligi ya Wanawake ya Sweden, Damallsvenskan. Aliwakilisha timu ya taifa ya wanawake ya Sweden katika Kombe la Dunia la Wanawake la FIFA la mwaka wa 2011. Yeye ni dada pacha wa mchezaji mwenzake wa timu ya taifa, Marie Hammarström.[1]
Mwezi Novemba 2013, dada zote wawili walitangaza kustaafu mara moja kutoka kwenye mpira wa miguu.[2] Mwaka mmoja baadaye, baada ya kuzaliwa kwa mtoto wake wa kwanza, Hammarström aliripotiwa kuwa katika mazungumzo na kocha wa Sweden, Pia Sundhage, kuhusu kurudi uwanjani kucheza.[3]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "FIFA.com - All smiles for Sweden's winning twins". web.archive.org. 2012-08-02. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-08-02. Iliwekwa mnamo 2024-05-07.
{{cite web}}
: Cite has empty unknown parameter:|dead-url=
(help) - ↑ TT (2013-11-15), "Tvillingarna Hammarström slutar", Svenska Dagbladet, ISSN 1101-2412, iliwekwa mnamo 2024-05-07
- ↑ "Sport". Nerikes Allehanda. 2024-05-05. Iliwekwa mnamo 2024-05-07.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kristin Hammarström kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |