Kristie Mewis

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mewis mnamo 2022

Kristen Anne Mewis (alizaliwa 25 Februari 1991)[1] ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Marekani ambaye anacheza kama kiungo wa klabu ya West Ham United inayoshiriki Ligi Kuu ya Wanawake (WSL) na timu ya taifa ya Marekani.[2][3]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. https://fdp.fifa.org/assetspublic/ce5/pdf/SquadLists-English.pdf
  2. "Kristie Mewis". web.archive.org. 2021-07-21. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-07-21. Iliwekwa mnamo 2024-04-27. 
  3. "Kristie Mewis | USWNT | U.S. Soccer Official Site". www.ussoccer.com (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2024-04-27. 
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kristie Mewis kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.