Kristen Stewart

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Stewart katika Tuzo za Chaguo la Wakosoaji 2022
Stewart katika Tuzo za Chaguo la Wakosoaji 2022

Kristen Jaymes Stewart (alizaliwa Aprili 9, 1990) ni mwigizaji na mtengenezaji wa filamu wa nchini Marekani.

Mwigizaji aliyelipwa pesa nyingi zaidi duniani mwaka wa 2012, amepokea tuzo mbalimbali kama vile British Academy Film Award na César Award.

Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kristen Stewart kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.