Kofi Kinaata

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kofi Kinaata
Kofi Kinaata

Martin King Arthur (alizaliwa 15 Aprili 1990) maarufu kama Kofi Kinaata ni mwanamuziki na mtunzi wa nyimbo kutoka Ghana huko Takoradi . [1] [2] Anajulikana kwa muziki wake wa kufoka wa Fante na mtindo huru na kwa hivyo anajulikana kama Fante Rap God (FRG). [3] Kando na umahiri wake wa kufoka, amekua mwimbaji mzuri sana akichukua mkondo wa muziki wa highlife kwa kasi.

Kazi ya muziki[hariri | hariri chanzo]

Baada tu ya shule ya Upili, Kofi Kinaata alishiriki katika shindano la kurap la Melody FM (Kasahari) na kuibuka kama mshindi wa pili mwaka wa 2009. [4] Alitoa wimbo wake wa kwanza " Obi Ne Ba " mnamo 2011.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Kofi Kinaata introduces himself from Ghana to the world. Graphic Showbiz (20 March 2014). Jalada kutoka ya awali juu ya 2019-03-02. Iliwekwa mnamo 9 May 2016.
  2. I sing from the heart - Kofi Kinaata opens up on songwriting skills - MyJoyOnline.com (en-US). www.myjoyonline.com. Iliwekwa mnamo 2021-05-20.
  3. Kofi Kinaata introduces himself from Ghana to the world. ghanaweb.com. Jalada kutoka ya awali juu ya 2019-03-02. Iliwekwa mnamo 15 September 2017.
  4. Kofi Kinaata Is A 'Fante Yaa Pono' – Wanluv The Kubolor | HypingGhana.com. www.hypingghana.com. Jalada kutoka ya awali juu ya 2017-08-17. Iliwekwa mnamo 17 August 2017.
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kofi Kinaata kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.