Kochi, Kerala
Mandhari
Kochi (kwa Kimalayalam കൊച്ചി Kocci, pia Cochin) ni mji katika jimbo la Kerala kwenye kusini-magharibi ya Uhindi.
Kochi ina bandari asilia kwenye mwambao wa Bahari ya Kiarabu ikiwa na historia ndefu ya biashara ya kimataifa.
Mnamo mwaka 2021 mji ulikuwa na wakazi 600,000, rundiko la jiji hufikia wakazi milioni 2.1.
Viungo vya Nje
[hariri | hariri chanzo]Wikimedia Commons ina media kuhusu:
- Kochi Municipal Corporation
- Bandari ya Kochi
- Daiosesi Cochin Ilihifadhiwa 11 Februari 2021 kwenye Wayback Machine.
- Kanisa Kuu Santa Cruz Ilihifadhiwa 2 Desemba 2020 kwenye Wayback Machine.
- Fort Kochi
Makala hii kuhusu maeneo ya Uhindi bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Kochi, Kerala kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |