Knight Squad

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Knight Squad ni kipindi cha televisheni ambacho huonyeshwa katika chaneli ya Nickelodeon.

Kinahusu msichana ambaye anaitwa Ciara ambaye ni mtoto wa mfalme akitamani kuwa askari katika jeshi lao lakini baba yake hataki yeye aweaskari katika jeshi lao. Lakini atajiunga kisiri katika jeshi hilo akisaidiana na mtu aitwaye Ark kutoka nje ya mji wao kutunza siri kwamba Ciara ni mtoto wa mfalme pia anatumia pete ya ajabu kubadilika.

Makala hii kuhusu filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Knight Squad kama waigizaji wake, hadithi au matoleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.