Nenda kwa yaliyomo

Klaus von Klitzing

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Klaus von Klitzing

Klaus von Klitzing (amezaliwa 28 Juni 1943) ni mwanafizikia kutoka nchi ya Ujerumani. Hasa ameichunguza mambo mbalimbali za usumaku. Mwaka wa 1985 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.


Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Klaus von Klitzing kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.