Kizhuang cha Guibei

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kizhuang ya Guibei ni lugha ya Kitai-Kadai nchini Uchina inayozungumzwa na Wazhuang. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kizhuang ya Guibei imehesabiwa kuwa watu milioni moja na nusu. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kizhuang ya Guibei iko katika kundi la Kitai ya Kaskazini.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kizhuang cha Guibei kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.