Kizhoa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Kizhoa (lugha))

Kizhoa ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Kamerun inayozungumzwa na Wazhoa. Kuna kijiji kimoja tu ambako lugha ya Kizhoa huzungumzwa. Tena lugha inafanana sana na Kiweh. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kizhoa iko katika kundi la Grassfields ambalo linafanana na lugha za Kibantu.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kizhoa kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.