Kizari

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta

Kizari ni lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Nigeria inayozungumzwa na Wazari. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kizari imehesabiwa kuwa watu 20,700. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kizari iko katika kundi la Kichadiki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Globe of letters.svg Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kizari kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.