Kizangwal

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kizangwal ni lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Nigeria inayozungumzwa na Wazangwal. Mwaka wa 1993 idadi ya wasemaji wa Kizangwal imehesabiwa kuwa watu 100 tu, yaani lugha iko katika hatari ya kutoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kizangwal iko katika kundi la Kichadiki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kizangwal kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.