Nenda kwa yaliyomo

Kiyuru

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiyuru kilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Wayuru katika jimbo la Queensland. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea Kiyuru, yaani lugha imetoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiyuru kiko katika kundi la Kidyirbaliki.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiyuru kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.