Nenda kwa yaliyomo

Kiyugur cha Magharibi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiyugur ya Magharibi ni lugha ya Kiturki nchini Uchina inayozungumzwa na Wayugur. Isichanganywe na lugha ya Kiyugur ya Mashariki ambayo ni lugha ya Kimongoli. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kiyugur ya Magharibi imehesabiwa kuwa watu 4600, na lugha imo hatarini mwa kutoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiyugur ya Magharibi iko katika kundi la Kiturki ya Mashariki.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiyugur cha Magharibi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.