Kiyugul

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiyugul ni lugha ya Kigunwinyguan nchini Australia inayozungumzwa na Wayugul katika jimbo la Northern Territory. Hakuna habari kuhusu idadi ya wasemaji wa Kiyugul, na inawezekana kuwa lugha imeshatoweka. Angalau iko hatarini mwa kutoweka. Uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi haujulikani kwa uhakika.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiyugul kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.