Kiyom
Mandhari
Kiyom ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Benin inayozungumzwa na Wayom. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kiyom imehesabiwa kuwa watu 74,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiyom iko katika kundi la Kigur.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kiyom kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kiyom
- lugha ya Kiyom katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/pil
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kiyom kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |