Kiyirandali
Mandhari
Kiyirandali kilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Wayirandali katika jimbo la Queensland. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea lugha hii, yaani lugha ya Kiyirandali ilitoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiyirandali kiko katika kundi la Kimariki.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kiyirandali kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kiyirandali
- lugha ya Kiyirandali katika Glottolog
- lugha ya Kiyirandali katika Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kiyirandali kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |