Kiyinggarda
Mandhari
Kiyinggarda ni lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia inayozungumzwa na Wayinggarda katika jimbo la Australia Magharibi. Mwaka wa 2005, kulikuwa na wasemaji wa Kiyinggarda wawili tu, na lugha imekaribia kutoweka kabisa hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiyinggarda kiko katika kundi la Kipama-Nyungan cha Kusini-Magharibi.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kiyinggarda kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kiyinggarda
- lugha ya Kiyinggarda katika Glottolog
- lugha ya Kiyinggarda katika Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kiyinggarda kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |