Kiyerong

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiyerong ni lugha ya Kitai-Kadai nchini Uchina inayozungumzwa na Wayao. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kiyerong imehesabiwa kuwa watu 380 tu, na lugha imo hatarini mwa kutoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiyerong iko katika kundi la Kikra.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiyerong kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.