Kiyeretuar

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiyeretuar (pia Kigoni) ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wayeretuar kwenye kisiwa cha Papua. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kiyeretuar imehesabiwa kuwa watu 350 tu. Lugha imekaribia kutoweka kabisa hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiyeretuar iko katika kundi la Kicenderawasih.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiyeretuar kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.