Kiyela (lugha)
Mandhari
Kiyela ni lugha ya Kibantu nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inayozungumzwa na Wayela. Mwaka wa 1977 idadi ya wasemaji wa Kiyela imehesabiwa kuwa watu 33,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kiyela iko katika kundi la C80.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kiyela kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kiyela
- lugha ya Kiyela katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/yel
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kiyela (lugha) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |